Nafasi hii niya Bustani ya Jamii. Bustani za Jamii ni shirikishi na za pamoja ambapo
majirani hukusanyika pamoja kukuza matunda na mboga mboga. Katika bustani hii, majirani zako wana shiriki kazi ya kutunza nafasi hii na kushiriki
mazao ambayo wana kuza pamoja.
Majirani zako wamefanya kazi kwa bidii kukuza hizi mboga mboga kwa ajili ya familia na jamii zao.
Tafadhali chukuwa tu kile unachohitaji lakini waachie wengine.
Hii ni nafasi ya umma ambayo iko wazi kwa kila mtu, ikiwa ni pamoja na wewe. Iwapo ungependa kusaidai majirani zako kukuza na kuchangia matunda na mboga
mboga, wasiliana na Grossroots Gardens WNY na tunaweza kukuunganisha na wale wanao tunza nafasi hii.
Piga simu: 716-783-9653
Tovuti: GrassrootsGardens.org
Unaweza kuwa sehemu ay bustani hii ya jumuiya!